Sunday, December 29, 2013


Huddah Monroe wa Kenya arusha dongo kwa Jackie Cliff kuhusu kukamatwa na dawa za kulevya nchini China. 



 Huddah Monroe wa Kenya arusha dongo kiaina kwa Jackie Cliff kuhusu kukamatwa na dawa za kulevya nchini China
Aliyekuwa muwakilishi wa Kenya kwenye shindano la Big Brother Africa ‘The Chase’,
Huddah Monroe aka Thee Boss Lady amerusha dongo kwa mrembo wa Tanzania Jackie Cliff
 ambaye alikamatwa na dawa za kulevya aina ya Heroin nchini china.
Tweet ya Huddah inadai kuwa Jackie Cliff ni mrembo ambaye alitaka kuishi maisha mazuri
ya haraka na kutumia vitu vya kifahari, pia akaambatanisha na picha mbili zinazomuonesha
Jackie akiwa amepozi kabla ya kukamatwa na nyingine akiwa na pingu, picha iliyotolewa na gazeti la nchini
                  

Beautiful girl...Wanting to live the "Fast Life" "The good life" Gucci
,Prada,Roberto Cavalli,Alexander Wang!
8:50 PM - 28 Dec 2013
Katika tweet nyingine Huddah ambaye hupenda kuonesha maisha ya kifahari
anayoishi,  amefunguka zaidi na kuonesha kuwa yeye ni muoga na asingeweza
 kufikia kiwango hicho.
“So this beautiful Tanzanian girl was caught with a KG of Cocaine. That’
s now a BAD ASS B**CH! I’m such a coward…I swear I’m not BAD!” Huddah ametweet.



No comments:

Post a Comment