Tuesday, January 28, 2014

ETI HUYU NDIO MWANAMKE MWENYE MWILI WENYE THAMANI KUBWA KULIKO WANAWAKE WOTE DUNIA.


Her name is Amanda Lepore, a transsexual who has been tagged as 'the most expensive body on earth'.


The 46 years old blonde had a sex change operation from male to female when she was 19, and ever since then, she has gone under the knife for all sorts of extreme plastic surgery procedures.

The busty party-girl has had three breast augmentations, butt implants, multiple nips and tucks, lip injections, fillers, nose job, forehead life, botox and had her hairline lowered; she even had her bottom ribs broken to achieve a smaller waist and a perfect hourglass statistics of 38-22-38.
Speaking on her sex change procedure, she described it as the most painful procedure she has ever done.

She has however refused to disclose just how much she has spent in total on all her procedures, responding instead with "There is a reason I am labelled 'The Most Expensive Body On Earth'".

Tuesday, January 14, 2014

CRISTIANO RONALDO MWASOKA BORA WA DUNIA


MRENO Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa Dunia wa mwaka wa FIFA kwa mara ya pili katika historia yake, akimuangusha mshindani wake mkuu, Lionel Messi.
Nyota huyo babu kubwa wa Real Madrid alikuwa anakabiliwa na ushindani wa mbali kidogo kwa nyota wa Barcelona, Messi na wa Bayern Munich, Franck Ribery katika kinyang’anyiro cha Ballon d’Or. 
Akiwa mwenye hisia kali, Ronaldo aliyekwenda jukwaani kuchukua tuzo yake akiwa ameambatana na mtoto wake wa kiume, Cristiano alishindwa kujizuia na kumwaga machozi wakati anapokea taji hilo.
Namba 1: Cristiano Ronaldo ameshinda Ballon d’Or na kutajwa ndiye mwanasoka babu kubwa duniani
article-2538773-1AA353DB00000578-612_306x423article-2538773-1AA3516800000578-254_306x423
Hisia: Ronaldo alishindwa kujizuia na akamwaga machozi jukwaani wakati anapokea tuzo ya Ballon d’Or
Winner: Pele holds up Ronaldo's son Cristiano as the Portuguese star picks up his award
Mshindi: Pele akiwa amemshika mtoto wa Ronaldo, Cristiano wakati Mreno huyo anapokea tuzo yake 
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 amepewa tuzo hiyo baada ya kufunga mabao 66 katika mechi 56 za klabu na nchi yake, Ureno mwaka 2013 hatimaye kuirejesha tuzo yake aliyoitwaa awali mwaka 2008.
Pamoja na kwamba Ronaldo hakutwaa taji kubwa mwaka 2013, alifunga mabao yote manne Ureno ikiitoa Sweden katika kinyang’anyiro cha tiketi ya kombe la Dunia baadaye mwaka huu.
“Hakuna maneno ya kusema wakati huu,” Ronaldo alisema, huku akifuta machozi. ”Nataka kuwashukuru wenzangu wote na washirika pale Real Madrid, katika timu ya Ureno na familia yangu, ambako wako nami,”.
“Wale ambao wananifahamu mimi, wanafahamu kwamba  watu wengi wananisaidia: kocha wangu, rais wetu, na sitaki  kusahau kumtaja Eusebio. Mpenzi wangu na mwanangu pia. Nasonga zaidi,”. 

HILI NDILO DAMPO JIPYA NA LA KISASA LA KUTUPIA TAKATAKA LINALO JENGWA JIJINI MBEYA.

Huu ndio mwonekano wa Dampo hilo la kisasa kwa upande wa juu ambapo ujenzi upo katika hatua za mwisho za ujenzi  Dampo hilo linajengwa maeneo ya mlima nyoka jijini Mbeya na kazi kubwa pamoja na kuhifadhi takataka pia litatumika kufua umeme na kutengeneza mbolea.
PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG.
Huu ndio mwonekano wa Dampo hilo la kisasa kwa upande wa juu ambapo ujenzi upo katika hatua za mwishoni 
 Hili ni eneo ambapo magari yaliyobeba takataka yatakua yanaingia na kumwanga taka taka hizo 
 Mwonekano wa Karibu wa ndani wa Dampo hilo la kisasa Jijini Mbeya 
 Hii ni Chemba pekee ambayo ni maalum kwa ajili ya kupitishia takataka zenye kimiminika, pia kupitishia takataka ambazo zitakuwa zimesagwa na kupelekwa katika Bwawa maalum litakalo tumika kutengenezea umeme pamoja na mabaki mengine ya takataka yatatumika kutengenezea mbolea.
 Hapa Ndipo Takataka hizo zitakuwa zikitelemkia 
 Mwonekano zaidi wa Dampo hilo la kisasa kwa ndani ambapo kwa sasa wameweka kokoto ndogondogo chini  huku ujenzi ukiendelea 
 Kingo pembezoni mwa Dampo hilo la kisasa 


HON. MEMBE AT THE ICGLR SUMMIT IN ANGOLA




IMG_4185From a Correspondent in Angola
  The 5th Ordinary Summit of the Heads of State and Government of the International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR) starts this Morning in Luanda, Angola  with Tanzania’s Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, Hon. Bernard K. Membe is representing President Jakaya Mrisho Kikwete in the summit.
  The summit which is aimed at deliberating on the regional peace and Security especially in  the  unfolding state of insecurity in DRC after the defeat of M23 and escalating fighting in South Sudan and Central Republic.
  More than 12 heads of state and Government from countries party to the International Conference on Great Lakes region have so far arrived in Luanda  ready for the  today’s summit.
  Hon. Membe arrived in Angola on Monday, 13 January 2014 and led Tanzania’s delegation to the Regional Inter-ministerial Committee (RIMC) yesterday (Tuesday 14 January 2013).
  The Summit is expected to be attended by Regional leaders from 12 Member states of ICGLR plus South Africa which has been invited on account of the role it plays in the regional security.
  The Summit is also expected to be attended by the UN Secretary Generals Special Envoy to the Great Lakes Region, Ms Mary Robinson and representatives of other regional organizations including the friends of ICGLR.
  The Summit will deliberate on the political and security situation in the Member States, particularly, DRC, South Sudan and the Central African Republic.
  DRC had so far done a sterling job in dislodging the M23 rebels who had destabilised the country for quite some time with support from other troops from Tanzania, South Africa and Malawi.

RAIS KIKWETE MGENI RASMI KONGAMANO LA WASANII IJUMAA


Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Twalib ‘Teacher’ 
(kushoto)
  ………………………………………………………..
MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) umeandaa kongamano la umoja na mshikamano linalofanyika Januari 17 (Ijumaa) kwenye viwanja vya hoteli ya Lamada ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Jakaya Kikwete.
Mwenyekiti wa SHIWATA,Caasim Taalib alisema madhumuni ya kongamano hilo ni kuhamasisha umoja kati ya wasanii ili kujenga uwezo na nguvu ya kumaliza matatizo yao ya kiuchumi.
Alisema wasanii, waandishi, wa habari na Vijana wanashindwa kumaliza matatizo yao ya kiuchumi bila kuombaomba au kusubiri misaada kutoka kwa wafadhili mbalimbali.
“Wasanii inatubidi tujifunze kujitegemea na tuache kusubiri wafadhili au serikali ituchangie hata kwa matibabu na katika mazishi yetu” alisema Taalib.
Katika kongamano hilo Shiwata itazingua mpango maalum ambao utawezesha wasanii kupata misaada ya fedha za kutengeneza filamu,kurekodi muziki,kuwezesha timu na vikundi mbalimbali kununua vifaa vya ichezona kuwapatia nauli ya usafiri ndani na nje ya nchi kwa shughuli za michezo na sanaa.
Katika Mpango huo Shiwata pia itatoa fedha kwa mrithi wa msaniii kamaatakufa, akiugua au kulazwa kwa siku tatu katika hospitali zinazotambuliwa na Serikali.
Alisema Shiwata pia itatoia misada kwa wasanii wanaotaka kuoa au kuolewa ambako kila mwanachama atachangia sh. 1,000 kwa ajili ya kugharamikia mazishi ya msanii kununua sanduku n usafiri.
Alisema Shiwata itakusanya zaidi ya sh. Mil.7 kutoka kwa wanachama 7,000 na wasanii watajiunga kwa sh. 20,000 ambazo zinaweza kulipwa kwa awamu tatu kutokana na uwezo wa msanii.
Sjiwata ina ekari 300 za makazi katika kijiji cha Mwanzega Mkuranga ambapo hivi sasa kuna nyumba 40 zilizojengwa kwa nguvu ya wasanii wenyewe na ekari 500 za kilimo.

Tuesday, January 7, 2014

JOH BIZZYblogspot.: NGUMI:MAMLUKI NA WAFUASI WA CHADEMA NA ZITTO WACHA...

JOH BIZZYblogspot.: NGUMI:MAMLUKI NA WAFUASI WA CHADEMA NA ZITTO WACHA...: NGUMI:MAMLUKI NA WAFUASI WA CHADEMA NA ZITTO WACHAPANA MAKONDE NJE YA MAHAKAMA Wafuasi wa Chadema wanaomuunga mkono aliyekuwa Naibu Ka...

PICHA: RIHANA AZIANIKA NYETI ZAKE TENA..

 

ILE SIKU ILIYO KUWA IKISUBILIWA SASA IME WADIA NIMATEMBEZI YA KUTOKA DAR MPAKA MOROGORO KWA MGUU


Ndugu zangu Watanzania,

Naomba kuwasalimu, katika jina la Mlima mrefu ukaitwa Kilimanjaro, visiwa vya marashi ya karafuu Zanzibar, Serengeti, Ngorongoro, mapango ya Amboni, pwani zilizojaa kubwa shani na ardhi yenye wingi wake gesi na madini, kwa hakika umaskini/ufukara wetu upo katika fikra zetu.

HAPO SINA LAKUSEMA BORA YESU ARUDI TU?????



DUNIA IMEKWISHA....PICHAZ ZA WAREMBO WA KI-NAIJA WAKISAGANA ZAVUJA MTANDAONI....


                                                           Wakiwa kwenywe pozi jingine

LAANA HII..PICHA ZA...WATU WAKIWA WATUPU KATIKA MATUKIO MBALIMBALI DUNIANI...!DUNIA IMEKWISHA..


                                   

NGUMI:MAMLUKI NA WAFUASI WA CHADEMA NA ZITTO WACHAPANA MAKONDE NJE YA MAHAKAMA

Wafuasi wa Chadema wanaomuunga mkono aliyekuwa Naibu Katibu
 Mkuu wa chama hicho, Zitto Kabwe

MAZITO YAIBUKA KESI YA JACK CLIFF CHINA-KESI KUSIKILIZWA 2016

Stori: Waandishi Wetu
HABARI mpya za supastaa modo wa Bongo

JINSI MBWA 120 WALIVYOMTAFUNA MJOMBA WA KIONGOZI WA KOREA KASKAZINI





Walimvua nguo na kumtupa kwenye ngome ya Mbwa wenye njaa 120