HUYU NDIO MSANII ANAYE KIMBIZA MORO MJI KASORO BAHARI KWA HIP HOP
Jamaa huyu amekuwa akifanya vizuri ktk game la bongo kwa upande wa hip hop,pia amefanikisha kua achia video yake hewania mbayo inafanya vizuri ktk media za bongo ndoto zake nikufika mbali kimuziki na kuubadilisha muziki wetu, Tofauti na mziki anajishugulisha na elimu pia ni mfanya kazi ktk kampuni fulani hapa Bongo shar out kijana wetu tuna kutegemea sanaaaa

No comments:
Post a Comment