MKE WANGU ANANIPANGIA RATIBA ZA KUFANYA NAE MAPENZI...!! USHAURI JAMANI NIFANYEJE...??
Habari yako Mnyetishaji...
Mimi ni Kijana wa miaka 29 , Nimeoa miaka mitatu iliopita ,
kabla sijaoa nilikuwa najua nikishaoa na
kuwa na mke wangu ndani issue ya matamanio ya kimwili
itakuwa hainisumbui kwa kuwa nitakuwa na mke ndani kila
nikitaka kitu napata, lakini imekuwa kinyume na nilivyofikiria.
.kwani nimekuwa mtumwa mke wangu ananipangia siku gani tufanye mapenzi
kwa week mara 2 tu , siku zingine hataki kufanya chochote na mimi na
nikilazimisha tunagombana na kutishia kuniacha...
jamani hii ni sawa ?
je nifanyaje?

No comments:
Post a Comment