KAMA HUJA WAHI KUMUONA:"" JOSEPH MAGERE""A.KA JOH BIZZY
MSANII ANAYE CHIPUKIA KTK MAISHA YA MUSIC NA NGOMA
YAKE UNISEGE TAZAMA BAADHI YA PICHA ZAKE HAPA CHINI
Nafurahia kuingia ktk game la music cz hiki nikpaji toka moyoni nime zaliwa najua Najivunia kuwa na sauti ya pekee najivunia kujua kutunga najivunia kutoa Voca zilizo shiba
pia najivunia kuwa na nyota ya kupendwa na watu kwani kila nitakapo panda stegini lazima nita toka na sifa za kumwaga najua siwezi kumfurahisha kila mtu ila wengi hunambia kuwa najua kuimba na kucheza hata kumiliki jukwaa thanks god kwa kunipa punzi inayo fanya kuwa mtu kati ya wayu




No comments:
Post a Comment